Kiungo wa klabu ya Yanga Feisal Salum ‘Fei Toto’ ametoa taarifa ya kuachana na mabingwa hao kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram.