Bashungwa ateuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

HomeKitaifa

Bashungwa ateuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri.

Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

 

 

error: Content is protected !!