Category: Kitaifa
Ushawishi wa Tanzania Duniani utategemea na Ubora wa Sera ya Mambo ya Nje inayorekebishwa
Imeelezwa kuwa ili Tanzania iweze kufikia malengo ya Maendeleo iliyojiwekea, lazima iwe na Sera Bora ya Mambo ya Nje inayozingatia maoni na matakwa y [...]
TPDC yasaini mikataba ya Sh60 bilioni kuongeza umiliki wa kitalu
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeongeza mara mbili umiliki wa kitalu cha gesi asilia cha Mnazi Bay baada ya kusaini mikataba miwili [...]
Thamani ya uwekezaji yaongezeka kwa 80%
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesajili miradi yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.4 (karibu Shilingi trilioni 4) ndani ya miezi mitatu [...]
Sera za uchumi za Rais Samia zaleta neema kwa mabenki
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Sera nzuri za uchumi za serikali tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani zimeleta neema kubwa kwenye se [...]
Rais Samia asisitiza upandaji wa miti nchini
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na wananchi wa makundi mbalimbali kupanda miti 4720 inayotarajiwa ikiwemo miti 120 ya matunda.
Miti hiyo imepand [...]
Matokeo Kidato cha Nne 2023
Baraza la Mitihani (NECTA) limetangaza watahiniwa 484,823 sawa na 87.65% wa mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023 wamefaulu.
Akitangaz [...]
Rais Samia awasili Indonesia
Rais Samia Suluhu Hassan alifika Jakarta leo kuanza ziara ya kiserikali nchini Indonesia. Nchi hiyo ya Kusini Mashariki mwa Asia imeendelea kuwa na uh [...]
Wakimbizi Tanzania kuanza kuhakikiwa
Serikali ya Tanzania imesema itaanza uhakiki wa wakimbizi na waomba hifadhi kutoka nchi jirani ili kuwarejesha makwao wasiostahili na kuongeza usalama [...]
Rais Samia amewasihi wananchi kuchagua viongozi wanaofaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasihi wananchi kushiriki kikamilifu kwenye chaguzi za Serikali za Mit [...]
Ruksa kuwekeza Msomera
Serikali imefungua milango ya fursa za uwekezaji katika kijiji cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, ili kuboresha maisha ya wakazi wa [...]