Category: Kitaifa

1 2 3 … 216 10 / 2159 POSTS
Watanzania wanaotaka kuacha pombe wakaribishwa Mirembe

Watanzania wanaotaka kuacha pombe wakaribishwa Mirembe

Taasisi ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe imewataka Watanzania wanaotaka kuacha matumizi ya pombe kwa hiari yao, wakiwemo ambao bado hawajaingia kweny [...]
INEC yatangaza Novemba 4 uchaguzi Jimbo la Chamwino

INEC yatangaza Novemba 4 uchaguzi Jimbo la Chamwino

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza Novemba 04, 2026 kuwa siku ya uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino, Mkoa wa Dodoma, pam [...]
Mwanafunzi wa Kidato cha Tano Rufiji akutwa amejinyonga

Mwanafunzi wa Kidato cha Tano Rufiji akutwa amejinyonga

Frank Sempombe, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Mkongo Wilaya ya Rufiji, amefariki dunia kwa kujinyonga karibu na eneo la shul [...]
Msd yaingiza shehena ya dawa ya kutibu uraibu wa pombe

Msd yaingiza shehena ya dawa ya kutibu uraibu wa pombe

Bohari ya Dawa (MSD) imeingiza nchini shehena ya kwanza ya Naltrexone, dawa inayotumika katika matibabu ya uraibu wa pombe, hatua inayolenga kuimarish [...]
Polisi watano na mahabusu saba wafariki kwenye ajali Singida

Polisi watano na mahabusu saba wafariki kwenye ajali Singida

Askari polisi watano na mahabusu saba wamefariki katika ajali iliyotokea eneo la Mlima Sekenke, Wilaya ya Iramba, Singida leo majira ya saa 1:30 asubu [...]
Serikali yakusanya bilioni 150 Daraja la Nyerere kwa kipindi cha miaka 10

Serikali yakusanya bilioni 150 Daraja la Nyerere kwa kipindi cha miaka 10

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umekusanya TZS bilioni 150.04 kupitia tozo za matumizi ya Daraja la Nyerere (Kigamboni) katika kipindi cha m [...]
Makamu wa Rais afanya ziara ya kushtukiza Mto Ng’ombe, Tandale

Makamu wa Rais afanya ziara ya kushtukiza Mto Ng’ombe, Tandale

Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, amefanya ziara ya kushtukiza katika eneo la Mto Ng’ombe, Tandale, Dar es Salaam, kukagua hali ya usafi wa mazingi [...]
DCI akataa kutoa ushahidi kesi ya Lissu

DCI akataa kutoa ushahidi kesi ya Lissu

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhani Kingai, amekataa kutoa ushahidi mahakama katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa [...]
Mkuu wa Mkoa Geita aagiza V8 ya Mkurugenzi itumike kubeba wagonjwa

Mkuu wa Mkoa Geita aagiza V8 ya Mkurugenzi itumike kubeba wagonjwa

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Alexander Mnyeti, ameagiza gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, aina ya Toyota Land Cruiser V8, litumike kubeb [...]
Kesi ya Lissu yashindwa kuendelea, mashahidi wapo nje ya nchi

Kesi ya Lissu yashindwa kuendelea, mashahidi wapo nje ya nchi

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu imeshindwa kuendelea leo leo Jumatano kuto [...]
1 2 3 … 216 10 / 2159 POSTS
error: Content is protected !!