Category: Kitaifa
Rais Samia amejibu kilio cha maofisa usafirishaji
Serikali imepunguza gharama za leseni kwa maofisa usafirisha wa bodaboda, bajaji na guta zinazotumia umeme katika bajeti ya mwaka 2025-2026 kulipia ki [...]
CADFUND yaahidi kuendelea kuipa Tanzania kipaumbele
Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo Kati ya China na Afrika (China-Africa Development Fund) umeahidi kuendelea kuipa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kip [...]
Jeshi la Polisi lataja sababu za watu kupotea na kutekwa
Jeshi la Polisi katika taarifa yake wa umma kuhusu matukio ya watu kutekwa na kupotea limesema katika matukio ambayo yameripotiwa katika vituo vya Pol [...]
Sh bil 69/- kutekeleza chanjo, utambuzi mifugo
SERIKALI imetoa Sh bilioni 69 kwa awamu ya kwanza katika kuhakikisha Wizara ya Mifugo inaendesha kampeni ya kutoa chanjo na kutambua mifugo yote iliyo [...]
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ampongeza Rais Samia: “Tanzania inastahili kuwekezwa”
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, ameisifu Tanzania kwa ukuaji wake wa kiuchumi na uimara wake, akihusisha mafanikio [...]
Waziri Kombo aisisitiza Kampuni ya Hunan ER-Kang kuongeza uzalishaji wa dawa nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameisisitiza kampuni ya Hunan ER-Kang ya nchini Chin [...]
Serikali na Sekta Binafsi kuendesha mradi wa mabasi ya mwendokasi
Serikali imesema imesaini mikataba minne yenye thamani ya Sh bilioni 681.53 kwa ajili ya kuboresha huduma ya usafiri katika mradi wa mabasi yaendayo h [...]
Wastaafu kima cha chini kulipwa 250,125.9/- kwa mwezi
KATIKA mwaka 2025/26, Serikali itaongeza kima cha chini cha pensheni ya kila mwezi kwa wastaafu wanaolipwa na hazina kutoka shs 100,125.9 hadi shs 250 [...]
Tanzania kuzisaidia nchi tisa masuala ya utabiri hali ya hewa
Kutokana na Mamlaka ya Hewa Tanzania (TMA) kuendelea kuhimili viwango vya utoaji huduma kimataifa, Tanzania kupitia TMA imepewa jukumu la kusaidia nch [...]
MSD yapokea bilioni 100 kwa ajili ya kuongeza uzalishaji
Bohari ya Dawa (MSD), imepokea zaidi ya shilingi bilioni 100 ikiwa ni mtaji wa kuimarisha uwezo wake wa kifedha kwa kuongeza uzalishaji wa dawa na upa [...]