Category: Kitaifa

1 2 3 4 215 20 / 2146 POSTS
Atafutwa kwa mauaji ya mama na mtoto Morogoro

Atafutwa kwa mauaji ya mama na mtoto Morogoro

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamtafuta Anderson Jackson kwa tuhuma za mauaji ya Asha Lukonge (38) mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Muoso, Kijiji [...]
Bodaboda kupatiwa utambulisho maalum kufuatia uhalifu wa vishandu

Bodaboda kupatiwa utambulisho maalum kufuatia uhalifu wa vishandu

Kufuatia wimbi la uhalifu unaofanywa na watu kwa kutumia pikipiki maarufu kama “vishandu,” Jeshi la Polisi mkoani Tanga limesema linapanga kuweka utam [...]
Kizimkazi yapiga hatua kimaendeleo, Rais Samia awakaribisha wawekezaji

Kizimkazi yapiga hatua kimaendeleo, Rais Samia awakaribisha wawekezaji

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tamasha la Kizimkazi limekuwa sehemu muhimu ya safari ya maendeleo na ustawi wa wananchi wa Wilaya ya Kusini, maeneo [...]
Akiri kuua baba na mama yake mdogo akiwatuhumu kwa uchawi Njombe

Akiri kuua baba na mama yake mdogo akiwatuhumu kwa uchawi Njombe

Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia Jacktani Mgeni (31) kwa tuhuma za mauaji ya Alfred Mgeni (65) na mke wake Betes Msigara (55) wote wakazi w [...]
Rais Samia: Wananchi tunzeni miradi inayotekelezwa na serikali

Rais Samia: Wananchi tunzeni miradi inayotekelezwa na serikali

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Kizimkazi na maeneo mengine kutunza miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali, akisisitiza kuwa mi [...]
Polisi kuchunguza kifo cha kijana aliyekamatwa Ngorongoro

Polisi kuchunguza kifo cha kijana aliyekamatwa Ngorongoro

Polisi Mkoa wa Arusha wanaendelea kuchunguza mazingira yaliyosababisha kifo cha Sefu Mussa (25) na kujeruhiwa kwa Salimu Haji maarufu Chambega, baada [...]
Rais Samia asema urithi bora kwa watoto ni taifa lenye amani

Rais Samia asema urithi bora kwa watoto ni taifa lenye amani

Rais Samia Suluhu Hassan amesema urithi mkubwa ambao wazazi na walezi wanapaswa kuwaachia watoto wao ni taifa lenye amani ambalo wataweza kutimiza ndo [...]
Mwabukusi: Tusiwaweke viongozi kwenye shinikizo kubwa kuhusu katiba

Mwabukusi: Tusiwaweke viongozi kwenye shinikizo kubwa kuhusu katiba

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Watanzania wanapaswa kukubaliana kwanza kuhusu umuhimu wa kuzungumza [...]
Serikali: 14% ya fedha za Bima ya Afya kwa Wote kugharamia magonjwa sugu

Serikali: 14% ya fedha za Bima ya Afya kwa Wote kugharamia magonjwa sugu

Serikali imesema asilimia 14 ya fedha zinazotengwa kupitia Bima ya Afya kwa Wote zitaelekezwa katika kugharamia matibabu ya wananchi wenye magonjwa su [...]
1 2 3 4 215 20 / 2146 POSTS
error: Content is protected !!