Category: Kitaifa
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 2,244
Jumla ya wafungwa 2,244 watanufaika na msamaha uliotolewa leo na Rais Samia Suluhu ambapo 263 wataachiwa huru tarehe 09/12/2023, wafungwa wawili walio [...]
Rais Samia awapongeza watangulizi wake kwa maendeleo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Saluhu Hassan amesema mafaniko ya Tanzania yametokana na maono ya viongozi waliomtangulia.
[...]
Sh. bilioni 80 kuendeleza Bandari ya Mbamba Bay
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA imeingia Mkataba wa usanifu na ujenzi wa uendelezaji wa Bandari ya Mbamba Bay iliyopo wilayani Nyasa Mko [...]
Rais Samia akatisha safari yake
Rais Samia Suluhu Hassan amelazimika kufupisha ziara yake ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai na kurej [...]
Serikali yapeleka dawa na vifaatiba Hanang
Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imefikisha msaada wa dawa na vifaatiba kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko Hanang katika Hospitali ya [...]
Sherehe za Uhuru kufanyika kimkoa
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza maadhimisho ya sherehe za uhuru (9 Disemba) yafanyike Kitaifa kwa kuzindua mchakato na kuandikwa kwa Dira ya Maendel [...]
Maboresho miundombinu ya viwanja vya ndege ni endelevu
Serikali imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi jirani.
K [...]
Nauli mpya za daladala
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri ardhini (LATRA) imetagaza viwango vipya vya bei ya nauli za daladala na mabasi ya mikoani huku nauli ya wanafunzi ikibakia [...]
Maagizo matatu ya Rais Samia kwa viongozi wa michezo nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa viongozi wa michezo nchini kuhakikisha wanaiendesha vyema sek [...]
Rais Samia: Lengo la BBT ni kupunguza umaskini na kutunza mazingira
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema lengo la Programu ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) ni kupunguza umaskini [...]