Category: Kitaifa
Jumuiya ya wakala wa forodha yampongeza Rais Samia kuruhusu uwekezaji wa DP World
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakala wa Forodha Zanzibar na Mjumbe wa JWT, Omary Hussein, amesema mkataba ambao Rais Samia ameusaini ni wa kufungua milango [...]
Rasmi DP World kuendesha sehemu ya bandari ya Dar kwa miaka 30
Tanzania imesaini mikataba mitatu na kampuni ya DP World ya Dubai ya kukodi na kuendesha sehemu ya bandari ya Dar es Salaam kwa miaka 30, miezi minne [...]
Rais Samia mgeni rasmi miaka 59 ya uhuru Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Jamhuri ya Zambia zinazotarajiwa kufanyika [...]
Rais Samia : vyuo vya ufundi kujengwa kila wilaya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imejidhatiti katika kuhakikisha kwamba wilaya nchini kuna chuo [...]
Rais Samia: Viongozi simameni imara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa mkoa wa Singida kuhakikisha wanasimama imara katika uteke [...]
Mfumo wa uteuzi wa mabalozi kutazamwa upya
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itautizama upya na kubadili mfumo wa sasa wa uteuzi wa mabalozi, ili kurejesha hadhi, umahiri na [...]
Idadi ya watalii Tanzania yazidi kupaa
Idadi ya watalii walioingia Tanzania imeongezeka kwa asilimia 25.7 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja huku nchi za Amerika na Ufaransa zikiingiza idadi [...]
Ziara ya Rais Samia India itakavyodumisha, kuimarisha na kuendeleza uhusiano
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa January Makamba amesema, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia [...]
Kardinali Rugambwa: Watanzania dumisheni upendo na umoja kwa wote
Kardinali Protase Rugambwa amewataka Watanzani wawe tayari kujenga na kudumisha utamaduni wa upendo na mshikamano na watu wengine hata ambao si Watanz [...]
Maonesho ya mboga na matunda Doha kunufaisha wakulima nchini
Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki uzinduzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Mboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) ikiwa ni utekele [...]