Category: Kitaifa
Sera za uchumi za Rais Samia zaleta neema kwa mabenki
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Sera nzuri za uchumi za serikali tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani zimeleta neema kubwa kwenye se [...]
Rais Samia asisitiza upandaji wa miti nchini
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na wananchi wa makundi mbalimbali kupanda miti 4720 inayotarajiwa ikiwemo miti 120 ya matunda.
Miti hiyo imepand [...]
Matokeo Kidato cha Nne 2023
Baraza la Mitihani (NECTA) limetangaza watahiniwa 484,823 sawa na 87.65% wa mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023 wamefaulu.
Akitangaz [...]
Rais Samia awasili Indonesia
Rais Samia Suluhu Hassan alifika Jakarta leo kuanza ziara ya kiserikali nchini Indonesia. Nchi hiyo ya Kusini Mashariki mwa Asia imeendelea kuwa na uh [...]
Wakimbizi Tanzania kuanza kuhakikiwa
Serikali ya Tanzania imesema itaanza uhakiki wa wakimbizi na waomba hifadhi kutoka nchi jirani ili kuwarejesha makwao wasiostahili na kuongeza usalama [...]
Rais Samia amewasihi wananchi kuchagua viongozi wanaofaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasihi wananchi kushiriki kikamilifu kwenye chaguzi za Serikali za Mit [...]
Ruksa kuwekeza Msomera
Serikali imefungua milango ya fursa za uwekezaji katika kijiji cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, ili kuboresha maisha ya wakazi wa [...]
IMF yatabiri makubwa ukuaji wa uchumi Tanzania
Kulingana na ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), uchumi wa Tanzania unakaribia kufikia hatua kubwa, ukiwa na Pato la Taifa [...]
Jinsi Rais Samia anavyoipaisha Tanzania kiuchumi
Hatua ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kuitaja Tanzania miongoni mwa mataifa 10 ya Afrika yenye deni dogo la taifa imedhihirisha mafanikio ya ma [...]
Bandari ya Dar kimbilio la wengi
Mabadiliko katika miundombinu, teknolojia ya kupakua na kupakia shehena na kasi ya kuhudumia meli katika Bandari ya Dar es Salaam kumeifanya bandari h [...]