Category: Kitaifa
Serikali inavyokabiliana na changamoto za masoko ya bidhaa za kilimo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inatekeleza mikakati madhubuti kukabiliana na changamoto ya u [...]
Ushuhuda na maoni ya mdau wa biashara ya mafuta
1. Mafuta yapo, wanaoleta shida ni wenye vituo kuzuia kuuza stock ya mafuta wakisubiri bei mpya iende juu ili faida yao iwe kubwa.
2. Serikali ifan [...]
Rais Samia asisitiza usimamizi wa rasilimali kwa maendeleo ya wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa Afrika kusimama imara na kutumia rasilimali zilizopo kwa maendeleo ya wananchi wao.
Ameyasema hayo a [...]
Rais Samia asisitiza matumizi ya teknolojia kwa Jeshi la Polisi
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi kuongeza kasi ya matumizi ya teknolojia katika utekelezaji wa majukumu yake ili kuongeza ufanisi ut [...]
Rais Samia : Mchengerwa ni bingwa wa mabadiliko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempongeza Waziri mpya wa OR- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa kwa kuleta mabadili [...]
Rais Samia: Wananchi toeni maoni Dira ya Maendeleo 2050
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kushiriki katika mchakato wa maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya 2050 ili kupata dira jumuishi itakayokid [...]
Rais Samia awafuta kazi Mkuu wa Wilaya wa Mtwara na DED wake
Rais Samia Suluhu Hassan amewafuta kazi Mkuu wa Wilaya wa Mtwara Vijijini, Hanafi Msabaha na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Tatu Issike kwa alichokie [...]
Serikali imekamilisha ukarabati wa shule yenye miaka 106
Serikali imetoa Sh milioni 180 zilizotumika katika ujenzi na kukamilisha ukarabati mkubwa wa vyumba tisa vya madarasa na uwekaji umeme katika shule ko [...]
Chalinze yapokea gari la Zimamoto na Uokoaji
Halmashauri ya Chalinze imepokea gari la Zimamoto na Uokoaji kwa ajili ya kukabiliana na majanga punde yanapatokea wilayani hapo.
Gari hilo, limeto [...]
Balozi wa Marekani: Sio lazima demokrasia zifanane
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Balozi Michael Battle, amesema kwamba demokrasia haitakiwi kuwa sawa kila mahali, na badala yake inapaswa kuzingat [...]