Category: Kitaifa
Bei ya mafuta Zanzibar yapaa kwa 10%
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Majina Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza ongezeko la bei ya mafuta ya petroli kwa asilimia 10 visiwani Zanzibar kuto [...]
Abu Dhabi kuikopesha Tanzania mkopo wa bilioni 69.9 ujenzi wa njia ya kusafirishia umeme
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), na Mwenyeji wake, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu (Abu [...]
Tumieni maziwa kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji
Rais Samia Suluhu Hassan ameziagiza wizara zinazohusika na kilimo na uvivu kufanya mchakato wa kuvuta maji kutoka kwenye maziwa yaliyopo nchini ili ya [...]
Serikali yatoa msamaha wa kodi matrekta kutoka nje
Sekta ya kilimo nchini imepata misamaha ya kodi katika eneo la kuagiza matrekta nje ya nchi lengo likiwa ni kusaidia kilimo nchini.
Ofisa kutoka Ma [...]
Mradi wa Kawe Beach mbioni kuanza baada ya kusitishwa kwa miaka 7
Mradi mkubwa wa mali isiyohamishika maarufu kama Seven-Eleven (711) ulioko katika eneo la Mbezi Beach/Kawe roundabout jijini Dar es Salaam unatarajiwa [...]
Onyo kwa wanasiasa wanaotumia matusi kwenye mikutano
Viongozi wa vyama vya siasa nchini wamekemea tabia ya baadhi ya wanasiasa wenzao wanaotumia vibaya nafasi ya kufanya mikutano ya hadhara ya vyama vya [...]
Mradi wa Sh270 bilioni watua wanakijiji ndoo
Zaidi ya wakazi 10, 000 wa Kijiji cha Bugayambelele Kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga, wameondokana na adha ya kukosa huduma ya maji baada ya mrad [...]
Chama cha Waagizaji na Wasambazaji mafuta chakanusha upotoshaji unaosambaa mitandaoni
Baada ya kuwepo kwa taarifa za kukosekana kwa mafuta ya dizeli na petroli nchini, Chama Cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania ( TAOMAC) kime [...]
Hotuba ya Rais Samia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika
Hii hapa hotuba ya Rais Samia Suluhu aliyoisoma katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital [...]
Msisitizo wa Rais Samia kuhusu umoja na muungano wa taifa
Wadau wamebaini kuwa wito wa mara kwa mara wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kukuza umoja na kudumisha amani unakuja wakati muhimu ambapo Tanzania imeona [...]