Category: Kitaifa
Mapendekezo matatu yakuboresha rasilimali watu Afrika
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango ametoa mapendekezo matatu yatayosaidia kuimarisha uwezo wa rasilimali watu barani Afrika ikiwemo ta [...]
Rais Samia kufanikisha ujenzi wa mnara mrefu Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amesema amevutiwa zaidi na ramani ya Uwanja wa Mashujaa, Dodoma ambapo jambo la kipekee na kubwa zaidi katika ramni hiyo ni u [...]
Rais Samia mgeni rasmi siku ya mashujaa
AMIRI Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kitaifa Julai 25, mwaka huu.
Shere [...]
Hakuna uhaba wa mafuta nchini
WAKALA wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umesema hakuna uhaba wa mafuta nchini.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa PBPA, Erasto Mulokozi amelieleza Habar [...]
Rais Samia ampa milioni 2 Mariam kwa kukumbatia watoto njiti
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mariam Mwakabungu (25) anayejitolea kukumbatia watoto njiti waliotelekezwa Hospita [...]
Tanzania na Hungary kuangazia usawa wa kijinsia
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake inalitizama kwa jicho la tatu suala la usawa wa kijinsia na kuwainua wanawake katika jamii.
Rais Sam [...]
Dk. Kikwete akoshwa na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan
Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuhakikisha Tanzania ina [...]
Rais Samia: Nchi za jirani zinatamani fursa tuliyoipata
Rais Samia Suluhu Hassan amesisistiza kuwa wakati Tanzania inaendelea kujadili makubaliano ya bandari na kampuni kubwa ya Dubai, bandari pinzani katik [...]
Rais Samia : jicho la serikali lipo wizara ya mipango na uwekezaji
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema sasa jicho la Serikali lipo katika wizara mpya iliyoundwa ya Mipango na Uwekezaji ambapo itakuwa na majuk [...]
Wavulana wakimbiza matokeo kidato cha sita 2023
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo limetangaza matokeo ya mtihani ya kidato cha sita kwa mwaka 2023 huku ufaulu wa jumla kwa watahiniwa wa shule [...]