Category: Kitaifa
Matokeo kidato cha sita 2023, 11 wafutiwa
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya watahiniwa 11 wa kidato cha sita baada ya kubainika kufanya vitendo vya udanganyifu katika mti [...]
Ajira mpya 77 Kada za Afya
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imetangaza tena nafasi za ajira kwa kada za Afya 77 nakuwataka wa [...]
Tanzania haitakuwa kikwazo kwa ukuaji wa kiuchumi wa Malawi
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema uhuru wa Malawi una maana kubwa kwao kwani unakamilisha uhuru wao kama jirani huru na mshirika wa kiuchumi katika nj [...]
Bei ya mafuta shuka kwa zaidi ya Sh100
Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli Tanzania kwa Julai 2023 imeshuka kwa zaidi ya Sh100 kwa lita ndani ya mwezi mmoja huku bei ya mafuta ya taa katik [...]
Rais Samia afanya uteuzi wajumbe wa NEC
Rais Samia Suluhu amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali.
[...]
Jaji Feleshi akemea lugha za kibaguzi mjadala wa bandari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa k [...]
China yaahidi kuwekeza sekta ya nishati Tanzania
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Mfuko wa Uwekezaji wa China Africa Development Fund (CADFUND) umeonesha nia ya kuwekeza Tanzania katika sek [...]
Fahamu kwamba bunge linaweza kuitisha mkataba wa bandari
Mikataba ya uwekezaji inayosainiwa nchini inaweza kuitishwa bungeni kwa marekebisho na maboresho, imeelezwa. Hayo yalibainishwa wakati wa mjadala wa k [...]
Wanaume mnaopitia unyanyasaji toeni taarifa
Wanaume nchini wameshauriwa kutovumilia na kuficha vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa kwenye ndoa na kwenye familia zao.
Badala yake, wametakiwa ku [...]
Wanafunzi 150 kutoka Sudan wahamishiwa Muhimbili
Wanafunzi 150 wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Tiba, Sayansi na Teknolojia (UMST) cha Khartoum nchini Sudan wamehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbil [...]