Category: Kitaifa
Serikali yasikia kilio cha wafanyabiashara K/koo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kukutana na kamati ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Mawaziri wa sekta husika na Mamlaka ya Mapato Tanzan [...]
Rais Samia: Membe alipenda maendeleo ya wananchi
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kifo cha aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Benard Membe, kimeacha pengo kubwa kwa familia, Wat [...]
Le Mutuz afariki dunia
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.
Taarifa za kifo [...]
Vibali vya minara kutoka ndani ya mwezi mmoja na sio miezi 6
Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka mamlaka zinazohusika na utoaji wa vibali vya ujenzi wa minara ya simu kwa kampuni za simu kutoa vibali hivyo ndani [...]
Fahamu wasifu wa marehemu Bernard Kamilius Membe
Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) walioza [...]
Membe afariki dunia
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam [...]
Rais Samia aridhia miaka 30 kulipa Magomeni Kota
Wakala wa Mjengo Tanzania (TBA) umesema Rais Samia Suluhu ameridhia wakazi 644 wa Magomeni Kota, Dar es Salaam waongezewe muda wa ununuzi wa nyumba zi [...]
TAMISEMI: Waziri Dugange hajajiuzulu
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema Naibu Waziri wa Ofisi hiyo anayeshughulikia Afya Dk Festo Dugange hajajiuzulu wa [...]
Bar zaidi ya 80 zafungiwa na NEMC
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia Bar za wazi zaidi ya 80 baada kukuta kelele zilizo kinyume cha sheria ya usim [...]