Category: Kitaifa
Rais Samia kushiriki tamasha la utamaduni, Mwanza
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara kikazi mkoani Mwanza kwa siku tatu ambapo atashiriki uzinduzi wa tamasha la Bulabo pamoj [...]
Manufaa yatakayo patikana baada ya ushirikiano katika ya Serikali na Serikali ya Dubai.
Yafuatayo ni manufaa ambayo yanatarajiwa kupatikana iwapo Bunge letu Tukufu litaridhia Azimio hili na kuwezesha Serikali kuendelea na hatua zinazofuat [...]
Wizara zenye bajeti ndogo mwaka 2023-2024
Macho na masikio ya Watanzania yapo bungeni jijini Dodoma ambako Serikali inatarajia kuwasilisha bajeti yake Juni 15, 2023 ambapo tayari wizara zote z [...]
Rais Samia kuongoza baraza la biashara
Rais Samia Suluhu Hassan kesho anatarajiwa kuongoza Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) utakaofanyika Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam [...]
Manufaa ya Mkataba uliosainiwa kati ya Tanzania na Serikali ya Dubai
Mnamo tarehe 28 Februari, 2022, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (Tanzania Ports Authorit [...]
Bei mpya za mafuta kuanza Juni 7, 2023
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta hapa nchini mwezi Juni, 2023.
Bei hizi zimeaanza [...]
Waliodanganya kuwa ni walemavu wafutiwa maombi ya ajira
Serikali imewapangia vituo vya kazi waajiriwa wapya 18,449 kati ya 21,200 ambao ajira zao zilitangazwa wa kada za ualimu na afya.
Waziri wa Nchi, O [...]
Rais Samia awaalika Yanga chakula cha jioni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 05 Juni, 2023 ameialika timu ya Dar es Salaam Young Africans (Yanga [...]
Fahamu kuhusu ndege ya Air Tanzania Cargo
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Watanzania kupokea ndege ya kwanza ya mizigo ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya B [...]