Category: Kitaifa
Fahamu wasifu wa marehemu Bernard Kamilius Membe
Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) walioza [...]
Membe afariki dunia
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam [...]
Rais Samia aridhia miaka 30 kulipa Magomeni Kota
Wakala wa Mjengo Tanzania (TBA) umesema Rais Samia Suluhu ameridhia wakazi 644 wa Magomeni Kota, Dar es Salaam waongezewe muda wa ununuzi wa nyumba zi [...]
TAMISEMI: Waziri Dugange hajajiuzulu
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema Naibu Waziri wa Ofisi hiyo anayeshughulikia Afya Dk Festo Dugange hajajiuzulu wa [...]
Bar zaidi ya 80 zafungiwa na NEMC
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia Bar za wazi zaidi ya 80 baada kukuta kelele zilizo kinyume cha sheria ya usim [...]
Rais Samia aanza mchakato wa kupata Katiba Mpya
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhes. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi, kuitisha kikao maalum cha Baraz [...]
Biashara kati ya Tanzania na Ufaransa yaongezeka
Ukuaji wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha shilingi billioni 27.8 kwa mwaka 2015 hadi bilioni 94.5 kwa mwaka 2022.
[...]
Waziri Ummy: Covid-19 sasa sio ugonjwa wa dharura
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu ametoa taarifa leo kuhusu hali ya ugonjwa wa Uviko-19 (Covid-19).
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, Waz [...]
Jaji Mgeta: Waziri Mkuu alichana uamuzi wa Mahakama
Jaji mstaafu John Mgeta amesema changamoto iliyomuumiza katika kutekeleza majukumu yake ni kitendo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, kudharau uamuzi wa mahak [...]