Category: Kitaifa
Ruksa mabasi kuanza safari saa tisa usiku
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeruhusu mabasi ya mikoani yaanze safari saa tisa usiku.
Latra imeagiza wamiliki wa mabasi wanaopenda [...]
EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta Mei 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, bezi hizi zitaanza kutumika kuan [...]
Uzalishaji wa maziwa nchini umeongezeka
Uzalishaji wa maziwa nchini umeongezeka kutoka lita bilioni 3.4 mwaka 2021/2022 hadi kufikia lita bilioni 3.6 mwaka 2022/2023 sawa na ongezeko la asil [...]
Rais Samia arejesha nyongeza za mishahara
Rais Samia Suluhu Hassan amerejesha utaratibu wa nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma ya kila mwaka ambao ulisitishwa kwa muda mrefu na ameahidi [...]
Rais Samia Suluhu mfanyakazi bora
Wakati leo ni sikukuu ya Wafanyakazi duniani, Umoja wa Wanawake Wanasiasa Tanzania (ULINGO), umempatia Tuzo Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ya kuwa mfan [...]
7 wasimamishwa kukatika umeme kwa Mkapa
Serikali imewasimamisha kazi watumishi saba akiwemo Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Salum Mtumbuka kufuatia hitilafu ya kuzimika kwa taa kat [...]
Salim Kikeke aaga BBC
Mtangazaji nguli wa habari wa Shirika la Habari la Uingereza (BBC) ,Salim Kikeke ametangaza kustaafu kazi katika shirika hilo baada ya kulitumikia kwa [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 376
Wafungwa 376 watanufaika na msamaha huu ambapo 6 wataachiliwa huru tarehe 26/04/2023 na 370 watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki [...]
Yanayosubiriwa Mei Mosi mwaka huu
Ikiwa zimebaki siku chache kabla ya kufanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yapo mambayo kadhaa yakajitokeza katika sherehe z [...]
MV Mwanza kufanya safari za Kenya na Uganda
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imesema meli ya kisasa ya Mv Mwanza Hapa Kazi Tu itaanza kufanya safari za Uganda na Kenya katika ziwa Victoria baada ya [...]