Category: Kitaifa

Serikali kutumia shilingi bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni 260,000
Serikali inakusudia kutumia Dola milioni 77.4 sawa na shilingi Bilioni 208.9 kuzijengea uwezo kaya 260,000 za wakulima na wavuvi kwa kuziwezesha kitaa [...]
Rais wa Findland awashukuru Watanzania kwa ukarimu
Rais wa Finland, Alexander Stubb, ametoa shukrani zake za dhati kwa Watanzania kutokana na ukarimu waliouonyesha wakati wa ziara yake ya kitaifa ya si [...]
Ushirikishwaji wa Sekta Binafsi Bandari ya Dar es Salaam Waongeza Ufanisi na Mapato
Ushirikishwaji wa sekta binafsi katika uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam umeonyesha mafanikio makubwa, na kuleta mabadiliko chanya katika uchumi [...]
Wananchi wa Mbagala kuondokana adha ya kukatika umeme
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Lazaro Twange amesema wananchi wa maeneo ya Mbagala na viunga vyake sasa wanatarajia kupat [...]
Rais Samia ataja fursa za uhusiano na Finland
TANZANIA na Finland wamekubaliana kuimarisha biashara baina yao.
Rais Samia Suluhu Hassan alisema hayo Ikulu, Dar es Salaam jana baada ya kuzungumz [...]
Boti za uvuvi 160 zanunuliwa na Serikali
Serikali imesema imenunua boti za uvuvi 160 zenye thamani ya sh. bilioni na kuzitoa kwa wanufaika 3,163 nchini.
Hayo yalibainishwa bungeni jijini D [...]
Wanafunzi mikopo elimu ya juu kuongezeka
Idadi ya wanafunzi wanaonufaika na mikopo ya elimu ya juu itaongezeka kutoa 245,314 mwaka 2024/2025 hadi wanafunzi 252,773 mwaka 2025/2026.
Tarifa [...]
INEC Yaunda Majimbo Mapya 8 kwa Uchaguzi wa 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeongeza majimbo mapya manane ya uchaguzi nchini, uamuzi utakaongeza ukubwa wa Bunge na kulifanya liwe na wabun [...]
Bajeti ya maji yapaa kwa asilimia 61
Wizara ya Maji imeliomba Bunge liidhinishe Sh1.017 kama bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26 ambayo imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 k [...]
Bei mpya za mafuta kuanza Mei 7,2025
Bei Kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 7 Mei 2025.
[...]