CCM kuimarisha muungano

HomeKitaifa

CCM kuimarisha muungano

Ikiwa leo Aprili 26, 2022 siku ya kuadhimisha Muungano katika ya Tanganyika na Zanzibar, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kwamba hakitaacha kuendelea kuchukua hatua zitakazouimarisha Muungano pamoja na kuendeleza sera za muundo wa serikali mbili.

Taarifa hiyo imetolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kupitia ukurasa wake wa Twitter.

error: Content is protected !!