Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Tiwtter, kimetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu madai ya wakandarasi dhidi ya Uhuru Media Group.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MADAI YA WAKANDARASI DHIDI YA UHURU MEDIA GROUP. pic.twitter.com/msG4b3EtY2
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) April 28, 2022