EWURA yasitisha matumizi ya bei mpya za mafuta

HomeClick TV

EWURA yasitisha matumizi ya bei mpya za mafuta

Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Godfrey Chibulunje ameeleza kuwa wamepokea maelekezo kutoka Serikalini kuwataka kusitisha bei hizo na kuendelea kutumia bei zilizokuwa zikitumika mwezi uliopita.

error: Content is protected !!