Fahamu kurasa zenye wafuasi wengi zaidi Twitter Tanzania

HomeKitaifa

Fahamu kurasa zenye wafuasi wengi zaidi Twitter Tanzania

Januari 2021 kulikuwa na Watanzania 5.40 milioni wanaotumia mitandao ya kijamii. Watumiaji wa mitandao Tanzania wameongezeka+20% 2020 – 2021, sawa na wastani wa watu 900,000. Watanzania 18.52% ndio wanatumia mtandao wa Twitter.

Zifuatazo ni kurasa zenye wafuasi wengi zaidi Twitter Tanzania

1. Reginald Mengi – 2M
2. Jakaya Mrisho Kikwete – 1.6M
3. Zitto Kabwe – 1.4M
4. Masoud Kipanya – 1.4M
5. January Makamba 1.1M
6. Halima Mdee – 960K
7. Dr. Hamis Kigwangala – 869.1K
8. Maria Sarungi – 936.1K
9. Masanja Mkandamizaji – 847.6K
10. Fatma Karume – 742.3K

Source: Twitter

22/ November / 2o21

error: Content is protected !!