Fahamu sababu ya watu kupenda Bia na Kahawa licha ya uchungu wake

HomeElimu

Fahamu sababu ya watu kupenda Bia na Kahawa licha ya uchungu wake

Utafiti unaonesha kwamba bia na kahawa ni vinywaji vinavyopendwa sana licha ya kuwa na ladha ya uchungu. Mapenzi juu ya vinjwaji hivyo hayamo kwenye ladha zake haswa, bali hisia wapatazo wanywaji.

Utafiti uliofanywa huko nchini uingereza katika Chuo Kikuu cha Northwestern ulijikita katika kutazama tofauti za vinasaba vinavyotoa tafsiri ya ladha ya vitu mbalimbali kwa binadamu. Walipima utafiti kwa watu 336,000 ambao miongoni mwao waliagiza vinywaji vichungu na vile vyenye sukari.

Utafiti ulionesha kuwa mapenzi ya watu juu ya vitu vyenye sukari na vile vichungu hayomo kwenye ladha tu, bali kwenye namna vinywaji hivyo vinawafanya wahisi mwilini. Hiyo inatokana na aina ya kemikali zilizomo kwenye vinjwaji hivyo.

error: Content is protected !!