Harmonize: Historia imeandikwa

HomeBurudani

Harmonize: Historia imeandikwa

Mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize amewajibu wale watu wanaohoji amewezaje kufikisha watazamaji milioni ndani ya dakika 3 katika mtandao wa Youtube baada ya kuachia wimbo wake mpya wa ‘Mdomo’ aliomshirikisha kinda wa lebo hiyo Ibraah.

Kupitia Insta story yake , Harmonize ameandika ujumbe mrefu akisema kila kitu kinawezekana na watu wasihoji kwani wimbo ni mzuri na ndio maana umeweza kupata watazamaji wengi ndani ya muda mchache.

error: Content is protected !!