IGP au IJP ?

HomeKitaifa

IGP au IJP ?

Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO), Gerson Msigwa, ametoa ufafanuzi wa tofauti kuhusu kiswahili cha neno IGP kuwa IJP. Ufafanuzi huo ameutoa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram leo Julai 21,2022.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Gerson Msigwa (@gersonmsigwa)

error: Content is protected !!