Jacqueline apata ubalozi

HomeKitaifa

Jacqueline apata ubalozi

Miss Tanzania mwaka 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi amechaguliwa kuwa balozi wa wa wanawake wenye ulemavu Tanzania.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Jacqueline N Mengi (@j_n_mengi)

Jacqueline ambaye ni Mwanzilishi wa taasisi ya Dr. Ntuyabaliwe Foundation ambayo imelenga kuchochea watoto kujisomea vitabu, ameshukuru kwa kupatiwa nafasi hiyo.

 

error: Content is protected !!