Jeshi la Polisi labaini mpango wa CHADEMA wa kuvamia vituo vya polisi

HomeKitaifa

Jeshi la Polisi labaini mpango wa CHADEMA wa kuvamia vituo vya polisi

Kufuatia tamko la Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa hakuna ushahidi unaothibitisha kuwa viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) wanashikiliwa na polisi, na hivyo kuagiza viongozi hao kutafutwa ili kubaini walipo, Jeshi la Polisi limetoa taarifa likieleza kuwa lina ushahidi wa mipango ya viongozi hao wa chama kupanga vitendo vya uhalifu ambavyo vinaweza kuhatarisha amani.

 

 

 

 

error: Content is protected !!