Jeshi la Polisi katika taarifa yake wa umma kuhusu matukio ya watu kutekwa na kupotea limesema katika matukio ambayo yameripotiwa katika vituo vya Polisi na uchunguzi wa kina kufanyika na walioripotiwa kupotea kupatikana wakiwa hai na wengine wakiwa wamekufa, hadi sasa ushahidi kwa baadhi ya matukio yameonesha sababu zake ni kujiteka, wivu wa mapenzi, imani za kishirikina, kugombea mali, kulipiza kisasi, kwenda nchi nyingine kujifunza misimamo mikali na kukimbia mkono wa sheria baada ya kufanya uhalifu.
View this post on Instagram