Kuondolewa kwa zuio la biashara na usafirishaji wa mazao ya kilimo kati ya Tanzania na nchi za Malawi na Afrika Kusini

HomeKimataifa

Kuondolewa kwa zuio la biashara na usafirishaji wa mazao ya kilimo kati ya Tanzania na nchi za Malawi na Afrika Kusini

Serikali kupitia Wizara ya Kilimo ilitangaza tarehe 23 Aprili 2025, kuzuia mazao kutoka nchi za Afrika Kusini na Malawi kuingia katika mipaka ya Tanzania hadi hapo hatua zitakapochukuliwa kwa nchi hizo kuruhusu mazao yetu kuingia katika masoko yao.

error: Content is protected !!