Malori yaliyokwama Namanga yaruhusiwa kuingia Kenya

HomeKitaifa

Malori yaliyokwama Namanga yaruhusiwa kuingia Kenya

Zaidi ya malori 500 yaliyokwama katika Mpaka wa Namanga yakibeba mahindi yameruhusiwa kuingia nchini Kenya kuanzia jana usiku.

Hatua hii ni kufuati maagizo ya Rais William Ruto na Rais Samia Suluhu kukubaliana kuondoa vizuizi vya kibiashara.

Aidha wafanyabishara wa Kenya wanaoagiza bidhaa za chakula kutoka Tanzania wamekumbusha kuomba vibali vya usafirishaji mtandaoni ili kuepuka usumbufu.

error: Content is protected !!