Mambo ya kutarajia baada ya kutoa bikira

HomeElimu

Mambo ya kutarajia baada ya kutoa bikira

Mtu bikira ni yule ambaye kizinda chake hakijavunjwa au hajawahi shiriki tendo la ndoa. Zamani ilikuwa ni jambo zuri pale mwanaume anapooa au kumkuta mwanamke akiwa bado bikra na wakati mwingine sherehe kubwa uandaliwa kwa ajili yake.

Lakini kwa sasa watu hawazingatia hilo na wengine hawatambui kama wametoa bikira zao na hii ni kwa sababu ya kukosa watu wakuwaeleza ukweli juu ya masuala kama haya, zifuatazo ni dalili kwamba bikira yako imetoka.

Matiti kuwa makubwa na imara kwa muda

Unaposhiriki tendo la ndoa neva zako hupata msisimko unaosababisha mishipa ya damu kupasuka na kufanya matiti kuvimba. Tafadhali kumbuka kuwa uimara ni wa muda tu.

Kusimama kwa chuchu

Unapoanza kujamiiana mwili wako humenyuka na kuongeza mtiririko wa damu yako kisha mvutano wa unyeti kwa chuchu ambapo husimama na kuwa ngumu unapokuwa na msisimko wa ngono ambao hunaweza kukusaidia kufika kileleni.

Mabadiliko kwenye uke

Kwa kuwa kuna shughuli mpya kwenye uke wako, italazimika kuzoea unene. Lakini inaweza kuchukua muda kidogo kabla ya kupenya na mara ya kwanza lazima upate maumivu kwa sababu ni mara ya kwanza. 

Baada ya muda maumivu hayo hupotea lakini endapo yataendelea unashuriwa kumuona daktari kwa uchunguzi zaidi.

 

error: Content is protected !!