Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetoa taarifa kuhusu upasuaji wa mapacha walioungana ambao leo Julai 1,2022 wamefanyiwa upasuaji wakuwatenganisha na zoezi hilo limefanikiwa.
TAARIFA
Upasuaji wa kutenganisha watoto waliokuwa wameungana (Rehema & Neema) umefanyika kwa MAFANIKIO. pic.twitter.com/VHuQMXN0s9— Muhimbili National Hospital (@MuhimbiliTaifa) July 1, 2022