M/Kiti kamati ya harusi ya Billnas na Nandy

HomeBurudani

M/Kiti kamati ya harusi ya Billnas na Nandy

Msanii kutoka nchini Tanzania, Billnas anayetarajia kufungua ndoa na Faustina Mfinanga maarufu kama Nandy, ameweka wazi kwamba muigizaji Steve Nyerere ndiye atakaye kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi yao.

Billnas ametoa taarifa kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram leo Julai 1,2022.

Billnass na Nandy wametoa taarifa ya kumchagua msanii wa filamu Steve Nyerere kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi yao ambayo inatarajiwa kufanyika mwezi huu wa saba.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by NENGA MAFIOSO (@billnass)

error: Content is protected !!