Maunda Zorro Afariki dunia

HomeBurudani

Maunda Zorro Afariki dunia

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Maunda Zorro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 14, 2022 kwa ajali ya gari mkoani Dar es Salaam.

Maunda ametoka kwenye familia ya waimbaji wakongwe Tanzania akiwa ni dada wa Banana Zorro na mtoto wa mwimbaji Zahir Zorro

Atakumbukwa kwa nyimbo mbalimbali ikiwemo Mapenzi Ni ya Wawili na Nataka Niwe Wako.

Familia ya mwanamuziki huyo imethibitisha kutokea kwa kifo hicho.

Maunda ameacha watoto watatu

 

error: Content is protected !!