Monalisa amlilia mtoto wake aliye Ukraini

HomeBurudani

Monalisa amlilia mtoto wake aliye Ukraini

Muigizaji wa filamu nchini, Yvonne Cherrie maarufu kama Monalisa ameeleza hali anayopitia kwa sasa wakati mtoto wake yupo nchini Ukraine kwa masomo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Yvonne Cherrie (@monalisatz)

error: Content is protected !!