Polisi Kagera waupiga mwingi

HomeKitaifa

Polisi Kagera waupiga mwingi

Jeshi la Polisi mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na idara ya wanyama pori (TANAPA) limewakamata watuhumiwa 9 kwenye makosa mbalimbali ikiwemo kukutwa na silaha zilizotengenezwa kienyeji, kukutwa na madawa ya kulevya yanayodhaniwa kuwa ni mirungi pakiti 485 zenye ujazo wa kilogramu 39, bangi zenye uzito wa kilo 6.64 pamoja na kumkamata mtuhumiwa wa mauaji yaliyofanyika tarehe 15/04/2022.

Taarifa kamili zinasema;

error: Content is protected !!