Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuanza msako maalum dhidi ya watu wanaodaiwa kusambaza taarifa za upotoshaji mtandaoni kupitia jukwaa la kijamii la X (zamani Twitter).
POLISI YAWASAKA WALIOSAMBAZA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI MTANDAO X (TWEETER) pic.twitter.com/znlVTbrrvi
— Police Force TZ (@tanpol) May 20, 2025