Qayllah wa Shetta ateuliwa kuwa Mjumbe CCM

HomeKitaifa

Qayllah wa Shetta ateuliwa kuwa Mjumbe CCM

Mtoto wa mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva Shetta afahamikaye kwa jina la Qayllah Nurdin ameteuliwa na Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam kuwa Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Jumuiya ya Chipukizi CCM Mkoa wa Dar es Saalam.

Taarifa ya uteuzi imetolewa na Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by UVCCM DAR ES SALAAM (@uvccm_dsm)

error: Content is protected !!