Rais Samia kufanya ziara China Septemba 02 hadi 06, 2024

HomeKitaifa

Rais Samia kufanya ziara China Septemba 02 hadi 06, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika Jamhuri ya Watu wa China kuanzia leo tarehe 02 hadi 06 Septemba, 2024 kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Forum on China-Africa Cooperation- FOCAC) utakaofanyika jijini Beijing.

error: Content is protected !!