Rais Samia kuhudhuria Mkutano wa SADC

HomeKimataifa

Rais Samia kuhudhuria Mkutano wa SADC

Rais Samia Suluhu anatarajia kuhudhuria Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( SADC) utakaofanyika Agosti 17,2024 mjini Harare, Zimbabwe.

Katika Mkutanohuo, Rais Samia anatarajia kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC akipokea kutoka kwa Rais wa Zambia Hakainde Hichilema anayemaliza muwa wake.

Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu inaeleza kwamba Rais Samia ataondoka leo tarehe 15 Agosti 2024.

Image

error: Content is protected !!