Rais wa Sri Lanka kujiuzulu leo

HomeKimataifa

Rais wa Sri Lanka kujiuzulu leo

Spika wa Bunge nchi Sri Lanka ametangaza kwamba Rais wa Nchi hiyo atajiuzulu leo Julai 13, 2022 baada ya kutuma barua.

Akizungumza na waandishi wa habari Spika amesema baada ya waandamaji kuvamia Ikulu tangu juma lililopita na kusababisha Rais kuondoka, leo atatuma barua ya kujiuzulu kama ambavyo wabunge walishauri.

“Rais alinifahamisha kuwa atatuma barua yake ya kujiuzulu ndani ya leo, Rais mpya atachaguliwa tarehe 20 Bungeni” – Spika

error: Content is protected !!