Ruto atangaza Baraza la Mawaziri

HomeKimataifa

Ruto atangaza Baraza la Mawaziri

Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza orodha nyingine ya Mawaziri wapya 10. Kwenye Orodha hiyo, Ruto amechagua mpaka mawaziri kutoka vyama vya Upinzani.

Rais Ruto amesema baraza la sasa limeundwa kwa kujali maslahi ya wananchi.

Roselinda Ntuya Waziri wa Ulinzi
Aden walle – Waziri wa Mazingira
John Ngongo – Waziri wa Fedha na Mipango
Salimu mvulya mgalla – Waziri wa uwekezaji na viwanda
Rebeca miyano – Waziri wa Utalii
James wandai – Waziri wa nishati
Onesmas murkomen -Waziri wa Vijana , ubunifu na michezo
Hassan Joho – Waziri wa madini na uchumi wa buluu
Dr. alfred Mtua – Waziri wa Kazi
Wycliffe kuparanya – Waziri wa Ushirika
Jacob mturi – Waziri maendeleo ya jamii na rasilimali watu
Stella lang’at – Waziri wa jinsia na tamaduni

error: Content is protected !!