Shule 10 bora hizi hapa

HomeKitaifa

Shule 10 bora hizi hapa

Baraza la Mitihani Tanzania leo tarehe 5/07/2022 limetangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu 2022. Matokeo hayo yanapatikana kwenye tovuti ya NECTA.

Matokeo hayo yametangazwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa(NECTA), Athuman Salum Almasi ambaye alizijataja shule kumi zilizoongoza kwa ufaulu bora.

  1. Kemebos- Kagera
  2. Kisimiri- Arusha
  3. Tabora Boys- Tabora
  4. Tabora Girls- Tabora
  5. Ahmes- Pwani
  6. Dareda- Manyara
  7. Nyaishozi- Kagera
  8. Mzumbe- Morogoro
  9. Mkindi- Tanga
  10. Ziba- Tabora

 

error: Content is protected !!