Tag: Bunge la Tanzania
Dkt. Samia aahidi ujenzi wa Uwanja Mkubwa wa Ndege Misenyi
Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Serikali yake itaanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege eneo la Kyabajwa, wilayani Mise [...]
Wagombea ubunge CUF na CHAUMMA Lindi wahamia CCM
Wagombea wawili wa Ubunge katika Jimbo la Mchinga mkoani Lindi kutoka vyama vya upinzani, wametangaza kuhama vyama vyao na kujiunga na Chama Cha Mapin [...]
Tanzania na China zaendelea kuimarisha ushirikiano wa uwili
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samwel W. Shelukindo amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China [...]
Mahakama yaamuru Mpina kurudi kuwania nafasi ya urais
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, imeamuru mwanachama wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, aruhusiwe kuendelea na mchakato wa kurejesha fomu ya kugombea Ur [...]
Zaidi ya dola bilioni 2 zinahitajika kutekeleza Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia Afrika
Pembezoni mwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Tabianchi jijini Addis Ababa, Ethiopia, viongozi na wadau mbalimba [...]
Afrika kupatiwa fedha za Mabadiliko ya Tabianchi ni ishara ya usawa katika majukumu ya Kimataifa na si msaada wa huruma
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi amesisitiza kuwa si sawa kwa Afrika kushurutisha nchi zilizoendelea [...]
Ahadi za Rais Dkt. Samia zawagusa wakulima na wafugaji Igunga
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan amenadi sera na ahad [...]

Moshi mweusi watanda urais wa Mpina
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, ikisema haukufuat [...]
Fahamu majina ya waliotoka Chadema na kulamba teuzi CCM
Watano kati ya 19 waliokuwa wabunge Chadema wateuliwa CCM Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imewateua miongoni mwa waliokuwa wabunge 19 wa [...]
Madai ya Polepole yakanushwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha taarifa zinazodai kuwa mfumo wa uchaguzi unaotumika na Tume hiyo umeunganishwa na mfumo wa Mamlaka ya [...]

