Tag: Bunge la Tanzania
Serikali yalipa zaidi ya shilingi bilioni 47 kwa watumishi walioondolewa kwa kughushi vyeti
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na Gazeti la Rada tarehe 14 Aprili 2025, [...]
Tanzania yaondoa sharti la kulipia viza ya utalii kwa raia wa Angola
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Serikali ya Tanzania itaondoa sharti la kulipia viza ya kitalii kwa Raia wa Angola kuingia Tanzania, kama amb [...]
Usafiri Somanga warejea
Usafiri umerejea kwa hatua katika barabara iendayo mikoa ya Kusini tangu leo alfajiri baada ya wataalamu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kufanya [...]
Panya wa Tanzania Ronin avunja rekodi ya Panya Magawa
Panya mkubwa wa kiafrika (Cricetomys ansorgei) mwenye jina la Ronin amepata sifa ya kugundua mabomu 109 ya ardhini na vipande 15 vya ziada vya risasi [...]
ATCL kuanza safari za moja kwa moja Kinshasa
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetangaza kuanza safari za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo (DRC) hatua i [...]
Tanzania yashiriki Mkutano wa Mpango wa Mattei wa Afrika, Italia: Reli kuziunganisha Bahari za Atlantiki na Hindi
Mpango wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Italia na Afrika ( Matttei Plan for Africa) unatarajiwa kuboresha miundombinu ya maendeleo Afrika kwa kuunganish [...]
Rais Samia: Hongera Mama Swapo
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempongeza Netumbo Nandi-Ndaitwah kwa kushinda urais na kuwa rais wa tano na rais wa kwanza mwanamke wa Namibi [...]

Serikali yaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali inaendelea kuimarisha mazingira rafiki ya uwekezaji kwa lengo [...]
Hungary kufungua ofisi ndogo ya ubalozi Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabid Kombo (Mb.), tarehe 21 Februari, 2025 jijini Budapest, Hungary, a [...]

Rais Samia kuhudhuria Mkutano wa AU
Rais Dk Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa kufanya ziara ya kikazi kuanzia leo hado Februari 16, kushiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa [...]

