Tag: Bunge la Tanzania

1 7 8 9 10 11 78 90 / 775 POSTS
Rais Samia: Hongera Rais Putin

Rais Samia: Hongera Rais Putin

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Urusi, Vladimir Putin, kuadhimisha S [...]
Viongozi wa Kanda CHADEMA mkoa wa Mwanza na wanachama 170 watimkia CCM

Viongozi wa Kanda CHADEMA mkoa wa Mwanza na wanachama 170 watimkia CCM

WANACHAMA 170 wapya wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mwanza, P [...]
Rais Samia ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu

Rais Samia ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Fa [...]
Yanga SC kuendelea na msimamo wao wa kutoshiriki mchezo namba 184 dhidi ya Simba SC

Yanga SC kuendelea na msimamo wao wa kutoshiriki mchezo namba 184 dhidi ya Simba SC

Klabu ya Yanga Sc imesema itaendelea na msimamo wake wa kutoshiriki mchezo namba 184 kwa kile kinachodaiwa kutoridhika na uamuzi wa Mahakama ya Kimata [...]
Tamko la Pamoja Laweka Msingi wa Ushirikiano Mpya wa Kilimo kati ya Tanzania na Malawi

Tamko la Pamoja Laweka Msingi wa Ushirikiano Mpya wa Kilimo kati ya Tanzania na Malawi

Tanzania na Malawi zimefikia makubaliano muhimu ya kurejesha na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara baada ya kikao cha kihistoria cha mawaziri kutoka [...]
Chanzo cha kukatika umeme Mbagala

Chanzo cha kukatika umeme Mbagala

Wizara ya Nishati, imetaja chanzo cha kukatika umeme jimbo la Mbagala, Dar es Salaam, kuwa ni kuzidiwa kwa Kituo cha Kupoza Umeme cha Mbagala. Imes [...]
Migogoro zaidi ya 20,000 yapokelewa Kampeni ya Samia

Migogoro zaidi ya 20,000 yapokelewa Kampeni ya Samia

Wizara ya Katiba na Sheria imesema migogoro 24,691 iliyodumu kwa muda mrefu ilipokelewa kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), a [...]
Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. [...]
Rais Samia azindua Benki ya Ushirika kwa ajili ya kuimarisha Sekta ya Kilimo na Ushirika

Rais Samia azindua Benki ya Ushirika kwa ajili ya kuimarisha Sekta ya Kilimo na Ushirika

Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na jitihada za kuimarisha sekta ya ushirika na kilimo nchini kwa kuzindua benki ya kwanza ya ushirika, inayomiliki [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 4,887

Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 4,887

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu nne mia nane themanini na saba (4,887) ambapo arobaini na mbili (42) kati yao wanaachiliwa h [...]
1 7 8 9 10 11 78 90 / 775 POSTS
error: Content is protected !!