Tag: Freeman Mbowe
Maboresho miundombinu ya viwanja vya ndege ni endelevu
Serikali imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi jirani.
K [...]
Maagizo matatu ya Rais Samia kwa viongozi wa michezo nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa viongozi wa michezo nchini kuhakikisha wanaiendesha vyema sek [...]
Rais wa Romania kuja nchini kwa ziara ya kitaifa
RAIS wa Romania, Klaus Iohannis, kesho November 16 hadi 19, 2023 anatarajia kufanya ziara ya Kitaifa nchini hapa kufuatia mwaliko alioupata kutoka kwa [...]
Fahamu mashirika 9 yaliyofutiwa usajili
Bodi ya uratibu wa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini imefuta leseni za uendeshaji za mashirika tisa ya kimataifa na kitaifa ikiwemo taasisi ya Mo [...]

Rasmi DP World kuendesha sehemu ya bandari ya Dar kwa miaka 30
Tanzania imesaini mikataba mitatu na kampuni ya DP World ya Dubai ya kukodi na kuendesha sehemu ya bandari ya Dar es Salaam kwa miaka 30, miezi minne [...]
Rais Samia mgeni rasmi miaka 59 ya uhuru Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Jamhuri ya Zambia zinazotarajiwa kufanyika [...]
Mfumo wa uteuzi wa mabalozi kutazamwa upya
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itautizama upya na kubadili mfumo wa sasa wa uteuzi wa mabalozi, ili kurejesha hadhi, umahiri na [...]
Idadi ya watalii Tanzania yazidi kupaa
Idadi ya watalii walioingia Tanzania imeongezeka kwa asilimia 25.7 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja huku nchi za Amerika na Ufaransa zikiingiza idadi [...]
Rais Samia anavyo-trend India
Kwenye mtandao maarufu wa Google nchini India, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekuwa mtu wa pili kwa habari zake kutafutwa sana kuliko mambo [...]
Rais Samia kutunukiwa shahada ya heshima kwa kukuza uhusiano kati ya Tanzania na India
Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru leo kinamtuku Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, shahada ya heshima. Rais yupo kwenye ziara ya siku nne nchini Ind [...]