Tag: Freeman Mbowe
Magazeti ya leo Desemba 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Desemba 26,2022.
[...]
Bilioni 2.2 za Rais Samia zakamilisha madarasa 110 Ilemela
Wanafunzi 12,548 waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela hawatakosa sehemu ya kusomea baada ya halmashauri [...]
Mahakama yatoa ruksa wafungwa kupiga kura jela
Mahakama Kuu ya Tanzania imetengua Kifungu cha 11 (1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2015 kinachozuia wafungwa kup [...]
Fahamu faida za kulala ofisini
Kulala kwa angalau dakika 30 ukiwa kazini ni kitu muhimu sana kwani mwili umekua umechoka kwa kufanya kazi kwa muda mrefu hivyo unapojipumzisha na kis [...]
Magazeti ya leo Desemba 23,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Desemba 23,2022.
[...]
Ujenzi wa reli Tabora- Kigoma waiva
Kipande cha ujenzi wa reli ya kati Tabora- Kigoma kitagharimu dola za Marekani bilioni 2.7 sawa na shilingi trilioni 6.34.
Reli hiyo ambayo mkataba [...]
Njaa yawatesa waliokataa kuhama Ngorongoro
Ukame na njaa inayoendelea kuutikisa Mkoa wa Arusha na baadhi ya maeneo nchi umewafanya wananchi waliokataa kuhama kwa hiyari kutoka Bonde la Ngorongo [...]
Magazeti ya leo Desemba 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Desemba 19,2022.
[...]
Serikali kuboresha maslahi ya wanahabari 2023
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema mwaka 2023 Serikali itaweka nguvu kubwa katika kuboresha maslahi ya waandis [...]
Magazeti ya leo Desemba 18,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumapili Desemba 18,2022.
[...]