Tag: habari kubwa za michezo
Upandaji wa miti ni nguzo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko ya tabia nchi si nadharia bali ni uhalisia unaoendelea kuathiri maisha ya watu duniani kote.
Akizungumz [...]
Dkt Samia: Nataka matokeo kwa wananchi sio michakato inaendelea
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewaapisha mawaziri na naibu mawaziri wake, huku akiwaeleza katika muhula wa pili wa Serikali yake, anataka kuona matoke [...]
UVCCM: Tanzania ikiwa na amani ni faraja kwa nchi jirani
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amesema Tanzania ikiwa na amani ni faraja kwa nchi jirani, hasa zile zi [...]
HESLB yatoa bil 215.3/- kwa wanafunzi 66,987
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza rasmi awamu ya pili ya upangaji wa mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa vyuo ambapo wanafu [...]
Polepole aondolewa hadhi ya ubalozi, uteuzi wake watenguliwa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole aliye [...]
Tanzania na Rwanda zaimarisha ushirikiano kwa kusaini hati mbili za makubaliano
Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda umefungwa rasmi jijini Kig [...]
Boti za uvuvi 160 zanunuliwa na Serikali
Serikali imesema imenunua boti za uvuvi 160 zenye thamani ya sh. bilioni na kuzitoa kwa wanufaika 3,163 nchini.
Hayo yalibainishwa bungeni jijini D [...]
Wanafunzi mikopo elimu ya juu kuongezeka
Idadi ya wanafunzi wanaonufaika na mikopo ya elimu ya juu itaongezeka kutoa 245,314 mwaka 2024/2025 hadi wanafunzi 252,773 mwaka 2025/2026.
Tarifa [...]
Tamko la Pamoja Laweka Msingi wa Ushirikiano Mpya wa Kilimo kati ya Tanzania na Malawi
Tanzania na Malawi zimefikia makubaliano muhimu ya kurejesha na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara baada ya kikao cha kihistoria cha mawaziri kutoka [...]
Ali Kamwe akutwa na hatia apigwa faini ya milioni 5, Ahmed Ali hana hatia
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza maamuzi ya Kamati ya Maadili kufuatia mashauri dhidi ya maofisa wa klabu za Simba SC na Yanga SC.
Kam [...]

