Tag: habari kubwa za michezo

1 2 3 4 5 123 30 / 1222 POSTS
Rais Museveni awasili Tanzania

Rais Museveni awasili Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa [...]
Rais Samia atunukiwa tuzo ya ‘The Global Goalkeeper Award’

Rais Samia atunukiwa tuzo ya ‘The Global Goalkeeper Award’

RAIS Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya ‘The Global Goalkeeper Award’ kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taas [...]
UN yahofia kundi la waasi M23 kuingia Bukavu

UN yahofia kundi la waasi M23 kuingia Bukavu

UMOJA wa Mataifa umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu ripoti zinazoonyesha kuwa kundi la waasi la M23 linapiga hatua kuelekea Kusini mwa Jamhuri ya Kidem [...]
Waziri Mkuu wa Niger atua Tanzania

Waziri Mkuu wa Niger atua Tanzania

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Niger, Mheshimiwa Ali Mahaman Lamine Zeine, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu [...]
TRA yaahidi kuendelea kutekeleza maagizo ya Rais Samia

TRA yaahidi kuendelea kutekeleza maagizo ya Rais Samia

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda akiwa katika maadhimisho ya siku ya Mlipakodi Jijini Dar es Salaam amesema ku [...]
Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2024

Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2024

Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika Novemba 11 hadi 29, 2024. Katibu Mtendaji wa [...]
Mapato ya bandari yashuka tani mil 30.9

Mapato ya bandari yashuka tani mil 30.9

Bandari kubwa zaidi nchini Msumbiji imeripotiwa kushuka kibiashara kwa mwaka 2024 kutokana na vurugu za uchaguzi. Vurugu hizo za uchaguzi ikiwemo m [...]
Umeme nyumba kwa nyumba

Umeme nyumba kwa nyumba

WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea na kampeni yake ya nyumba kwa nyumba ya kutoa elimu kuhusu faida na matumizi ya umeme pamoja na kuhamasish [...]
Rais Samia azindua hoteli iliyozalisha ajira 400 kwa wazawa

Rais Samia azindua hoteli iliyozalisha ajira 400 kwa wazawa

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar yenye hadhi ya n [...]
Balozi wa Marekani aisifu SGR ya Tanzania

Balozi wa Marekani aisifu SGR ya Tanzania

Balozi wa Marekani nchini, Michael Battle ameisifia treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kwa huduma bora na huku akisema amesafiri mabara manne duniani ila a [...]
1 2 3 4 5 123 30 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!